Ilikuwa siku ya furaha jana wakati makama ya rufaa ilipoagiza kwamaba mwanasheria Zebedee Ongayo, aachiliwe huru baada ya kuwekwa korokoroni na jaji mmoja katika mahakama kuu mjini Nairobi.Jmabo la kusikitisha ni kwamaba mahakama ya rufaa ilikuwa imeamuru kuwa lile hukumu la yule jaji la kumtia korokoroni yule wakili lisitedeka hadi wakati rufaa itakoposikilizwa.
Yasemekaan kwa mujibu wa wakili mwenyewe kwamab hili tukio lilietwa na ombi la wateja wake kumtaka yule jajji ajiondoe kwa kusikiza kesi.Hili no ombo amabalo mawakili hawaruhusiwi kulifanya bila ya haki au kwa kufnaya shehe kwani ni la muhimu mno.Hatuwezi jua ni kwa nini hili ombo lilifanywa lakini yamkini lilimletea wakili huyu mjini nairobi matata bila kifani.
Swala la upotevu wa imani na jaji wowote kwa sababu ya uhusiano wake na mmoja wa wanao kesi mbele yake au kwa uhusiano na jambo analoombwa kulitatua ni jambo amabalo webgi katika nchi ya Kenya wanaonelea si mwafaka kupewa kipao mbele.
Ukweli ni kwamba kama wnananchi wnataka kuwa ana imani na yale yanyoteeka kotini ni lazima wanaofanya kazi kule wajue imani haiwezi kuwek kama kuna shuku kuwa uhusiano usiofaa waeza kuelewka kushwishi jaji kutatau kesi mbele yake.
Imani ya wananchi ndilo suluhisho la pekee la kutiliwa maanani wakati hili swali linapoibuka katika kesi yeyote.
Mahakama ya rufaa pia katika muungano wa nchi za afrika ya mashariki pia wiki hii hii lilikataa ombi la jaji mkuu kujiondoa kusikiza kesi dhidi ya serilaki ya Kenya.
La muhimu ni kuwa uamuzi wote wa koti lazima upewe heshima na kila mtu, na kwa hivyo jambo lolote linaloweza kubainika kuwa linaweza kutia shaka uamuzi huo lazima liondeolewe kwa haraka iwezekanavyo. Hivi ndivyo watu watasema kuwa tuna uamuzi wa haki.
Haki lazima itendwe hadharani na ibainike hadharani!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment